Wakenya mashuhuri ambao walizaliwa mwezi wa Februari

Muhtasari
  • Februari, mwezi wa upendo uko hapa nasi. Wengi hutambua mwei wa Februari kama wa wapendanao wa maana tarehe 14 watu wengi husheherekea siku ya wapendanao
Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko

Februari, mwezi wa upendo uko hapa nasi. Wengi hutambua mwei wa Februari kama wa wapendanao wa maana tarehe 14 watu wengi husheherekea siku ya wapendanao.

Wengi hueneza tu upendo na wala si chuki, ni bahati kubwa sana kuzaliwa mwezi huu.

Fikiria kuzaliwa wakati upendo unapokuwa unaelea hewani.

 
 
 

Hii hapa orodha ya watu mashuhuri wa Kenya ambao watakuwa wakitimiza mwaka zaidi katika mwezi huu wa Februari.

1,Rue Baby

Mwana msanii Akothee amekuwa akivuma sana kwenye mitandao ya kijamii kwwa njia maoja au ningine.

51135435_1132575160247154_4865814296324595713_n (1)
51135435_1132575160247154_4865814296324595713_n (1)

Rue alizaliwa Februari tarehe 20.

2.Gavana Hassan Joho

Mnamo tarehe 26 Februari gavana wa kaunti ya Mombasa alizaliwa, huku akisheherekea siku hii maalum wakenya wengi walimlimbikizia sifa kwenye mitandao ya kijamii.

Hon.-Ali-Hassan-Joho
Hon.-Ali-Hassan-Joho

3.Heaven Bahati

Mwanawe msanii Bahati alizaliwa siku ya wapendanao,14 Februari.

Heaven Bahati
Heaven Bahati

4.Mike Sonko 

Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike sonko alizaliwa tarehe 27 Februari, mwaka huu Sonko atasheherekea siku ya Jumamosi.

Mike Sonko

5.Talia Oyando

Mtangazji huyo alizaliwa tarehe 26 Februari, huku akisheherekea siku yake na gavana wa Mombasa.