Nataka aokoke,'Msanii Masterpiece ataka Huddah Monroe aokoke,mashabiki wakisema haya

Muhtasari
  • Msanii Masterpiece ataka Huddah Monroe aokoke
  • Baadhi ya mashabikiwalimkejeli na kumwambia  walimwambia kwamba ameanza kazi ambayo haistahili kama msanii wa nyimbo za injili
  • Hata hivyo wengine walimuuliza kati ya picha za Huddah aliona tu ambayo amevalia bikini
masterpiece
masterpiece

Msanii wa nyimbo za injili Masterpiece amepokea hisia togauti baada ya kupakia picha yake mwanabiashara Huddah Monroe na kusema kwamba anataka aokoke.

"Nataka aokoke atanisaidia kuleta mioyo ya watu kwa kristo," Aliandika Masterpiece.

Ni ujumbe ambao uliibua mdahalo kwenye mitandao ya kijamii ya instagram huku kila mwanamitandao akitoka hisia tofauti kwa ajili ya maoni yake masterpiece.

 
 

Baadhi ya mashabikiwalimkejeli na kumwambia  walimwambia kwamba ameanza kazi ambayo haistahili kama msanii wa nyimbo za injili.

Hata hivyo wengine walimuuliza kati ya picha za Huddah aliona tu ambayo amevalia bikini.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki wake;

vicky_rein: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lakini wewe masterpiece huoni uko na kasoro

shaqtheyungin: Tutakosana bure hapa

mmarcuske: Kwa picha zake zote umeona tu hii yenye hana nguo... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

_.austine._: Ungepost pic amevaa nguo at least.... Bt Amen to that

 

slaine_nduta: When you're crushing on someone... deep down ukijua you can never win herπŸ’”πŸ˜‚

 

maal_im_: Kaka usianze mchezo za ringtoneπŸ˜‚

blesskilundah: Concentrate more on the Holy Spirit bro, for He convinces one or even many to get saved..... Kanye West is a good example.

2mbili: Huyu ni spender. Hawezi save. πŸ˜‚

sharifah_nguyo: Sasa izi ni Nini...umeanza upuzi

dice_kionero: am your fun ,lakini sasa umeanza upuzi kijana