Orodha ya wanawake ambao wametikisa tasnia ya burudani kenya

Muhtasari
  • Kuwa katika tasnia ya burudani haswa wanawake ni ngumu sana,na wengi wao hupitia changamoto tofauti
90089293_199918631265198_8284504329692590265_n
90089293_199918631265198_8284504329692590265_n

Kuwa katika tasnia ya burudani haswa wanawake ni ngumu sana,na wengi wao hupitia changamoto tofauti.

Bali na changamoto ambazo wanawake hao hupitia wametia bidii katika kazi yao ya burudani, kila pande katika muziki,ucheshi na sekta zingine za burudani.

Hii hapa orodha ya wanawake ambao wametikisa tasnia ya burudani nchini kenya, na wanazidi kutia bidii, kuwafurahisha mashabiki wao;

 

1.Nadia Mukami

Nadia ni mwanamke ambaye anaendelea kutia bidii, katika kazi yake ya usanii huku akipeperusha bendera katika kazi hiyo.

Nadia-2-e1566897594626-696x395
Nadia-2-e1566897594626-696x395

Msanii huyo amefanya colabo na wasanii tofauti huku nymbo zake zikipenwa sana na wakenya hata nchi za nje.

2.Cartoon

Mchekeshaji huyo wa kipindi cha churchill, licha ya nchi na maeneo ya burudani kufungwa amekuwa katika mstari wa mbele kuwafurahisha na kuwachekesha mashabiki wake na wakenya kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya youtube.

3.Vivian

Mwanamuziki huyo amekuwa akitoa kibao kimpja baada ya kingine,ni mwanamke mwenye urembo wa kipekee.

Vivian
 

4.Tanasha Donna

Ni mwanamke ambaye ameonyesha bidii katika tasnia ya muziki, huku akitoa colabo na wasanii tofauti nchini na hata nje za nchi.

Tanasha
Tanasha Donna Tanasha

5.Femi One

Ni mwanamuziki wa kipekee ambaye amevuma sana kwenye tasnia ya burudani, na mwenye bidii yake.

femi one
femi one