Msanii Harmonize avunja rekodi ya staa wa bongo Diamond Platnumz

Muhtasari
  • Msanii Harmonize avunja rekodi ya staa wa bongo Diamond Platnumz
hamo 1
hamo 1

Msanii Harmonize na mkurugenzi mkuu wa lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide yuko juu ya mawingu baada ya kibao chake na msanii kutoka Congo Awilo LOngomba kuvunja rekodi ya msanii Diamond lwa muda wa saa tatu.

KIbao chake Harmonize cha 'Attitude' kilipokea watazamaji elfu 100 kwa muda wa dakika 44, Diamond mapema mwaka huu alitoa collabo na msanii wa rhumba Koffi Olomide, ambapo kibao chake kilipokea watazamaji elfu 100 baada ya saa moja.

Kwa sasa kibao cha Waah kina watazamaji zaidi ya milloni 6.

Huku Harmonize akizungumzia kibao hicho, kwenye ukurasa wake wa instagram aliandika ujumbe huku akiwashukuru waliofanikisha kibao hicho;

"Shukrani za kipekee kwa ndugu yangu @mastergarzy kwa rekodi hii siwezi nikakushukuru kabisa kwa kibao hki umeuwa rafiki mzuri watu wengi wanauliza kwanini @h.baba niliwahi kuwa shabiki wake kabla ya kuwa shabiki wangu,"

Hiki hapa kibao chake Harmonize;

Harmonize - AfroEast Stream/Download: https://album.link/afroeast Subscribe for more official content from Harmonize: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/ Follow Harmonize Instagram: https://www.instagram.com/harmonize_tz/ Twitter: https://twitter.com/harmonize_tz Facebook: https://web.facebook.com/Harmonize255 TikTok: https://vm.tiktok.com/JYFv7PN/ Listen to Harmonize YouTube: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/ Audiomack: https://audiomack.com/harmonize Apple Music : https://music.apple.com/tz/artist/harmonize/81714549 Spotify : https://open.spotify.com/artist/1eCaedusgydlcn69blHOvL The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Harmonizemanagement@gmail.com Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762 #Harmonize #Hbaba #AwiloLongomba