Usifanye ngono na Rick Ross,'Manzi wa Kibera amshauri Hamisa Mobetto

Muhtasari
  • Manzi wa Kibera amshauri Hamisa Mobetto
  • Hata hivyo,katika mahojiano, Mobetto alikanusha madai kwamba wawili hao wanapendana akisema wanafanya kazi tu
Manzi wa KIbera
Image: maktaba

Kwa wiki chache zilizopita, rapa wa Amerika Rick Ross amekuwa akitoa maoni juu ya picha ambazo amekuwa akipakia kwenye ukurasa wke wa instagram.

Mwanamitindo huyo wa Kitanzania hakuwahi kujizuia na kumshirikisha mara kwa mara, jambo ambalo liliwafanya mashabiki wake wafikirie kwamba kunaweza kuwa na kitu kati ya wawili hao.

Hata hivyo,katika mahojiano, Mobetto alikanusha madai kwamba wawili hao wanapendana akisema wanafanya kazi tu na tunatumahi mashabiki wataona kile ambacho wamekuwa wakifanyia kazi.

Siku chache zilizopita, Mobetto alitangaza kuwa alikuwa Dubai wakati huo huo Rick Ross alipangiwa kutumbuiza mashabiki katika jimbo la UAE.

Mwanasoshalaiti wa humu nchini Manzi wa Kibera amesmhauri mwanamitindo huyo kwamba hasikubali kufanya ngono na  rappa badala yake wacha adhibitishe upendo wake kwake kwa kumpeleka kwenye kitanda chake huko USA.

"Hey Hamissa Mobetto, tumeona Rick Ross amekupeleka Dubai, kule Dubai basi Rick Ross mwenyewe tunajua malengo ya kwake. Rick Rossanataka kuanya ngono mkiwa Dubai kama anakupenda kweli anapaswa kukupelak USA, na kulala na wewe huko na wala sio kwa hoteli," Alisema Manzi wa KIbera.