- Mtangazaji wa Tv, awali aliomba umma msaada wa kuweza kukusanya fedha kwa gharama zake za matibabu.
Wanandoa size 8 na Dj Mo wanao julikana kama “The Murayas” wanarudi kwa skrini na kusisimua kipindi chao ambayo itakua inaonyeshwa kwenye TV47 siku ya Jumapili saa mbili usiku.
Tangazo hilo lili fuatwa na furaha wakati “The Murayas” walipeleka jambo hilo la furaha katika mitandao ya kijamii kupitia klipu fupi ya kuvutia.
“I wanted to tell you the good news, Mungu ametenda nakuambia, Yes, We are supposed to announce it tomorrow at 11, Tuesday”.
Katika trela ya kipindi hiyo, tunaona pia Dj. Krowbar na bibiye ambao wamekua na changamoto zao binafsi.
Wanjiru Karumba, mkewe wa Dj. Krowbar ambaye mwaka jana ambaye alipigana kwa ujasiri kushindwa kwa figo.
Mtangazaji wa Tv, awali aliomba umma msaada wa kuweza kukusanya fedha kwa gharama zake za matibabu.
Kipindi hiyo inaitwa “ Love in The Wild”, itaanza Jumapili tarehe 11 Februari saa mbili usiku, Tv47.