'Wewe sio mcheshi tena,'Willy Paul amjibu Eric Omondi baada ya kumtupia vijembe mitandaoni

Muhtasari
  • Mcheshi Eric Omondi kwa mara nyingine ameanzisha mashambulizi dhidi ya msanii  Willy Paul
Image: INSTAGRAM// WILLY PAUL

Mcheshi Eric Omondi kwa mara nyingine ameanzisha mashambulizi dhidi ya msanii Willy Paul.

Wabunifu hao wawili ambao kwa muda wa wiki jana waliguna baada ya Eric kumwita Willy kwa kumtaja msaini wake mpya Queen P jina hili linalofanana kwa karibu na msaini mpya wa Eric na aliyekuwa msanii wa wa Willy Paul Miss P huenda wakakabiliana leo tena baada ya taarifa ya hivi punde ya Eric Omondi.

Eric ametoa wito kwa wimbo mpya wa Willy Paul akimshirikisha msaini mpya Queen P katika chapisho lake jipya zaidi kwa mara nyingine tena akitaja ukosefu wake wa ubunifu,

"Ngoma kali sanaa but kitu tu ume lack ni ORIGINALITY Bro, CREATIVITY pia iko chini Kiasi but EFFORT iko👍👍👍. Alafu vile kutakuwa na Willy Paul mmoja tu, kunaweza kuwa ONE 'P' kubadilisha jina la Msanii Buda. Lakini kazi poa," Aliandika Willy Paul.

Baada ya msanii Pozze kuona ujumbe wake Eric , alimjibu mcekeshaji huyo na kumwambia kwamba yeye sio mchekeshaji tena.

Pia alimwambia kwamba kama anaanguka katika tasnia yake, hapaswi kuwahusisha wengine, ila aanguke pekeyake.

Onyo ujumbe huu umenakiliwa jinsi ulivyoandikwa na msanii huyo;

"@ericomondi I'm glad that people like you exist, umefanya nijue kweli Vagina ikona nguvu na inalewesha. Wewe kula mambo yako pole pole bro. Wachana na mimi.. the P ur talking about ni mimi niliunda.. so what originality are you talking about? Wewe kama unafail na industry yako, fail peke yako nao... ur not even a comedian anymore. You lost relevance kitambo mjinga, and I don't remember the last joke kutoka kwako imagine. Wewe ni k*** za watoto unaharibu. Please usjiaribu kukujia @queenp254 coz hataki #pressure."