Kibao cha wiki:Tazama kibao kipya cha Diamond kilichopokea watazamaji zaidi ya elfu 100 kwa dakika 45

Muhtasari
  • Tazama kibao kipya cha Diamond kilichopokea watazamaji zaidi ya elfu 100 kwa dakika 45
diamond platnumz
diamond platnumz

Diamond ameacha wanamtandao wakimsifu kwenye  mitandao ya kijamii kwa wakati mwingine.

Hii ni baada ya wimbo wake mpya kabisa 'Naanzaje' kupokea zaidi ya watazamaji 100k kwa chini ya dakika 44, jambo ambalo mashabiki wake hawawezi kupata kutosha kutoka kwake.

Kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mashabiki wamemsifia Diamond kwa bidii ya kazi yake.

Licha ya msanii huyo kupokea kejeli tofauti kutoka mitandaoni, ameonekana akitia bidii kila kuchao.

Kumbuka, hii sio mara ya kwanza kwa video mpya za Diamond kupokea watazamaji kama hawa kwenye YouTube chini ya saa moja.

Sasa habari hii ya Diamond kupata watazamaji zaidi ya 100k kwenye Youtube chini ya dakika 44 kwa wakati mwingine imeenea kwenye mitandao ya kijamii, na inaleta athari tofauti kutoka kwa wanamtandao kwa sasa.

Baadhi ya mashabiki walichukua fursa hiyo kutetea Harmonize huku wenine wakimkejeli kwani show yake ilihudhuriwa na watu 40 Marekani.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

dalali_wa_warembo123: Huyi Ndo Baba LaoπŸ˜‚

kjmuka: Tunawaambia leo nisiku yetu tunaenda kushangaza nchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ™Œ tuachane na show ya Marekani watu 40πŸ˜‚

eraston_masale: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waambiee kwanba hizo ni Real views sio Fake wajue kutofautisha

jumaalimasi: Ikiwa harmonize mnasema maroboti shemzi nyiee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

abdulinassir5: Yaani hao views waliopo hapo wangawe mara 10000 jawabu utakayopata ndio watu walioingia kwenye show ya Harmonize jana Marekani

simbaplatnumz32: Simbaaaaa salute na hatujastreamπŸ”₯

hidayajonson: Noma sanaaaaaaaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Hii hapa video ya kibao hicho;

Get The SongπŸ‘‡πŸ‘‡ https://dplatnumz.lnk.to/naanzaje Video Shot By Hanscana Song Produced By Lizer Classic Get A Boy From Tandale Album https://umgafrica.lnk.to/DiamondPlatnumzABFTYD Diamond Platnumz Booking Info: Email:bookplatnumz@gmail.com | sallam.sharaff@gmail.com Catch Up With Diamond Platnumz On: Instagram:https://www.instagram.com/diamondplatnumz/ Facebook:https://www.facebook.com/DiamondPlatnumz255/ Twitter:https://twitter.com/diamondplatnumz/ #Diamondplatnumz #Wasafi #Naanzaje