Diana Marua akejeliwa kwa kumshirikisha aliyekuwa mkewe Kibe kwenye ugomvi wao

Marua alisema kwamba anahisi mwanamke huyo anayetajwa kumtenda vibaya sana Kibe

Muhtasari
  • Kupitia Instagram yake, Marua aliibua picha ya zamani ya Kibe akiwa na mwanamke ambaye alisema anadhaniwa kuwa alikuwa mpenzi wake kabla ya kuachana

Vita ya maneno katika mitandao ya kijamii kati ya Diana Marua na Andrew Kibe inaonekana kuchacha kila kuchao.

Kupitia Instagram yake, Marua aliibua picha ya zamani ya Kibe akiwa na mwanamke ambaye alisema anadhaniwa alikuwa mpenzi wake kabla ya kuachana.

Marua alisema kwamba anahisi mwanamke huyo anayetajwa kumtenda vibaya sana Kibe ndiye chanzo kikubwa cha Kibe kutoona zuri katika ndoa au mapenzi, kwani anatumia muda mwingi kukejeli wapenzi.

“Swali la siku : nani aliumiza Andrew kifeiliaa??? Ikiwa huyu Bibi kwenye picha hii ndiye aliyevunjika moyo huyu mtangazaji wa zamani wa Radio aliyefeli ... tunaomba amrudie kwa sababu sisi wengine tunaumia juu ya hiyo Talaka. Tafadhali tuje wote pamoja na tumsihi huyu mwanadada anayedhaniwa kuwa mke wa zamani wa Kibe ili arudi kwake. Kifee amechoka kujilipua, sasa atajinyonga.”

Hata hivyo, baadhi walihisi si hatua nzuri kuivuta picha ya mwanamke huyo kwenye ugomvi wao na Kibe na kumtaka kutochukua mkondo huo.

 

pinkyshee1: You ought to leave that woman alone. That woman never speaks about you. That woman is innocent in all this. She ain't ever talked shit about you. It's Kibe that calls you names, not that woman. Come on.

winnieshikuhwish: I feel dragging her ex wife to this drama is very unnecessary. You probably hurt the lady plus probably the man he's seeing now! Kama ni kifee deal nayeye kivyake

lilianjanet1: Aki hii baby gal I'd advise you leave this fight u cant win with Kibe he has no chills..stick to what you best know as a mum,wife ,rapper n all..but za Kibe lenga tu like everyone else

theyottuno: I can respect that you two have beef with eachother BUT why post this woman and circulate her image online? How does she come into the picture? Your using an innocent woman as bait for ridicule ???. She's someones daughter probably someone's mother and wife. Your posting pictures of their wedding???? Why??