Nilipigwa na mke wangu mja mzito na akuniuma mgongo

eudias kigai
eudias kigai

Jamaa mmoja kwa jina Elkana, aliwashangaza waskizaji wa Radio Jambo pamoja na mtangazaji Eudias aliposimulia jinsi mkewe alivyomshambulia na kumpiga, isitoshe mwanamke yule alimuuma mgongo.

Cha kushangaza ni kuwa mkewe alikuwa mja mzito wakati wa ushambulizi ule.

"Nakwambia wangu amewahi nipige na akaniuma mgongo, lakini sikuwa nimeelewa na nikakasirika." Alieleza Elkana.

Aliongeza,

Nikwambia sasa kwa ajili amekataa kunipikia sasa wacha nilete msichana mwingine wa kunipikia na hapo ilibidi a control mind yake na akarudi normal."

Isitoshe alidai kuwa walipigana hadi mkewe akamtupia mavazi yake nje ya nyumba na ilibidi mama yake amtulize.

Mkewe alishukisha hasira na akamuomba mumewe msamaha na wawili hao sasa wanaishi kwa upendo na amani.

Pata uhondo kamili.