Jamaa aliyekula sehemu za siri za mnyama atiwa nguvuni

Polisi nchini India wamepongezwa kwa hatua ya kumkamata mwindaji ambaye wanasema amekuwa akiwauwa dubu na kula sehemu zao za siri, huku hatua ya kukamatwa kwake ikitajwa kama ''Ukamataji muhimu sana".

Mwanaume huyo, anayefahamika kama Yarlen, amekuwa akisakwa kwa miaka kadhaa.

Maafisa walifahamishwa kwa mara ya kwanza walipobaini mizoga kadhaa ya dubu ambayo haikuwa na sehemu za siri katika mbuga za wanyama.

Pardhi-Behelia ambaye anatoka katika jamii ya watu wanaohamahama ni mmoja ya watu wanaoamini kuwa shemu za siri za kiume za wanyama zinaongeza nguvu za kiume, alisema Ritesh Sirothia afisa katika Idara ya msitu wa Madhya Pradesh.

Polisi nchini India imepongezwa kwa hatua ya kumkamata mwindaji ambaye wanasema amekuwa akiwauwa dubu na kula sehemu zao za siri, huku hatua ya kukamatwa kwake ikitajwa kama ''Ukamataji muhimu sana".

Soma zaidi