PICHA: Haya ndio maisha magumu yanayomngoja Jowie huko Manyani

jowie.2
jowie.2
Mshukiwa wa mauaji, Joseph ‘Jowie’ Irungu atakabiliwa na wakati mgumu zaidi.

Hii ni baada yake kuhamishwa kutoka jela ya Kamiti hadi jela ya Manyani ilioko Voi baada ya kupatikana na kifaa ambacho hakikubaliki humo ndani.

Kulingana na afisa mkuu alizungumza na Star na kuomba kutokujulikana kwa kuhofia, alisema,

JOWIE ALIHAMISHWA KUTOKA KAMITI HADI MANYANI SIKU YA IJUMAA. SIWEZI SEMA MENGI KUHUSU HILO," AFISA HUYO ALISEMA JUMATATU.

Jowie atakuwa jela kwa Krisimasi nyingine huku mahakama ikingojewa kutoa uamuzi juu ya ombi lake la dhamana mnamo Februari 13, 2020.

Jowie alikamatwa Septemba 25 mwaka uliopita na alikuwa jela wakati wa siku kuu za Krisimasi.
Mnamo Juni 18, 2019, Mahakama Kuu ilikataa kumpa dhamana Jowie kwa mara ya pili.
Jaji James Wakiaga alitupilia mbali ombi la Irungu la kukagua dhamana kwa sababu kwamba ilikuwa mapema.

Here are photos from inside Manyani Maximum Security Prison that will make you pray for Jowie.

Tazama picha za kutoka ndani ya gereza la Manyani ambazo zitakufanya wewe umuombee Jowie.

A sufuria in Manyani prison
Wafungwa walala chini
Wafungwa waanika virago vyao ukutani na hawana magodoro.

Choo za Manyani 
Sufuria ndani ya ndani ya gereza la Manyani