Baba Mtarajiwa? Harmoniz adokeza uwezekano wa kupata mtoto

pjimage (4) (1)
pjimage (4) (1)
Msanii wa Tanzania Harmonize  amedokeza kuhusu uwezekano wa kupata mtoto pamoja na mpenzi wake mzungu.

Harmonize  amekuwakatika uhusiano na Sarah kwa miaka miwili sasa  na huenda wawili hao wanatarajia mtoto hivi karibuni iwapo posti yake inaweza kuaminika .

https://www.instagram.com/p/B9eDYX_HOkI/

Ameandika katika Instagram;

“Its time to be a daddy,

Sarah akajibu ;

“Soon”

Mwaka  wa  2017 Harmonize alitengana na mpenzi wake wa zamani Wolper kwa sababu Sarah alikuwa na uja uzito lakini kwa bahati mbaya baadaye aliupoteza ujauzito huo .

  “Yes I was pregnant for Harmonize, but unfortunately I lost the baby in my fourth month of pregnancy. Its God’s plan but we will try for another kid next time,”  alisema

Harmonize  inadaiwa pia kwamba ana mtoto mwingine na mwanamke kwa jina  Shantell.