Utazeeka bila mtoto? Mashabiki wamwambia Huddah Monroe

Mwanasosholaiti Huddah Monroe anafahamika sana na kujulikana kwa figa yake ya kupendeza na sifa zake zimetamba sana katika mitandao ya kijamii.

Huku cheche za maneno zikienea sana katika mitandao ya kijamii, Huddah alidai kuwa hajui kama kuna mwanamziki kwa jina Khaligraph nchini na hata hajui wimbo wake mmoja.

Khaligraph alimpa jibu la kushangaza, baada ya kupost picha na kuandika ujumbe mfupi, kupitia instagram

"Some bright orange color for the darkness surrounding the world right now ..... 🥰." Aliandika Huddah.

Huku mmoja akimuuliza kama atazeeka bila mtoto. Haya hapa maoni ya mashabiki,

:Nyie ndo mnaotuletea Corona

Ata hizi zinapatwa na corona kweli🤔

Utatoa aje mchanga itaingia kwa nunu? 🙄🙄🙄🙄

Hakuna kitu iko na raha Kama hiyo beach umekalia 😂😂😂😂😂😂