Nashikililia tu matumaini yangu,' Akothee awapeza wanawe

Msanii Akothee anafahamika sana kwa nyimbo zake na hata jinsi anavyowalea watoto wake kwa maadili ambayo yanafaa.

Kupitia mtandao wa kijamii wa instagram Akothee aliandika na kuzungumzia jinsi ananvyowapeza wanawe.

Aliandika  kuwa hawezi ngoja kirusi cha corona kuisha ili awaone wanawe wavulana wanaoishi nchi za ng’ambo.

Kupitia mtandao wa kijamii aliandika ujumbe huu kuhusu wanawe.

"‘IF YOU ARE AWAKE PRAY WITH US , I MISS MY CHILDREN, ALL WORLD APART, IS THERE HOPE 🤔🙏🏾🙏🏾🙏🏾

@PRINCEOJWANG I MISS YOU, I HOPE TO SEE YOU SOON WHEN THE VIRUS IS GONE 😭😭😭😭😭😭😭)." Akothee Aliandika.

Wanawe Akothee walitarajiwa kusafiri kuja nchini ili washerehekee siku ya Akothee ya kuzaliwa lakini kwa hakika hawataweza kwa sababu ya virusi vya corona.

"@OYOOTHEPRINCE YOU WERE SUPPOSED TO BE HERE ON MY BIRTHDAY AS AGREED.

BUT THE VIRUS IS NOT ALLOWING PLANES TO MOVE, AROUND THE WORLD 😭😭😭😭😭 ARE YOU SAFE IN KENYA?" Alisema..

Aliongeza na kusema,

"EVERYONE IS GOING THROUGH A SITUATION RIGHT NOW , HANDLE PEOPLE WITH CARE 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾.

I AM JUST HOLDING ONTO HOPE. GOD PROTECT ALL THE FAMILY MEMBERS WHO HAVE LOST THEIR LOVED ONES, AND US WHO ARE STILL LIVING 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾." Aliandika Akothee.

Je unafurahia kuwa na familia yako wakati huu wa karantini?