'Unaona gere!' Mashabiki wamawambia Tanasha baada ya kudharau picha za Diamond za TBT

Tanasha anaweza kuwa amempa Diamond Block katika mitandao ya kijamii, lakini kupitia  kwa marafiki zake anaweza kuona chochote Diamond huwa anaposti kwenye mitandao hiyo.

Wiki jana, mmoja wa marafiki wake Diamond alisema kuwa kwa mara nyingi Tanasha alikuwa anakaa kama 'slay queen' akiwa na msanii Diamond hakuwa anawez michezo ya kitandani.

Tanasha hakuchukulia jambo hilo kama mzaa bali alimpa bonge la jibu.

Msanii Bahati alipost picha ya Diamond  na kuandika ujumbe mfupi;

“2014 THE FIRST DAY I MET @DIAMONDPLATNUMZ HAPA ENYEWE NILIKUA NIMEJIKOJOLEA SANA UOGA 😂😂😂 THANKS FOR ALWAYS BEING A BIG BROTHER 🙏 I THINK IT’S TIME WE DROP THAT… 🔥🔥🔥 #BAHATI ❌ #SIMBA.”

Diamond alibu ujumbe wa msanii Bahati na kusema,

“BROTHERS FOR LIFE.”

Tanasha naye hakukimya bali aliandika ;

“LMFAO.”

Ni jibu au maoni ambayo yaliibua hisia tofauti kwenye mtandao wa kijamii na baadhi ya hisia hizo ni kama vile zifuatao;