Ulemavu sio kutokuwa na uwezo! Wanafunzi wa shule ya Thika ya vipofu wawaacha wakenya na Sonko na hisia baada ya kuimba wimbo huu

Thika-school-for-the-blind-696x418
Thika-school-for-the-blind-696x418
Wanafunzi wa shule ya salvation Army ya Thika ya wanafunzi wasiokuwa na uwezo wa kuona au wanafunzi vipofu wamewaacha wakenya wengi wakiwa na hisia nzuri baada ya kuimba wimbo wa msanii Rueben Kigame ft Gloria Muliro unaofahamika kama 'huniachi'.

Wanafunzi hao wana sauti za kumtoa nyoka pangoni, wengi waliwapongeza kwa talanta na sauti zao hasa gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko aliwapongeza kwa bidii yao licha ya kuwa hawana uwezo wa kuona.

Kwa kweli wazungu hawakukosea waliposema 'Disability is not inability.

Video ya wanafunzi hao wakiimba imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya msanii wa nyimbo za injili Gloria Muliro kuposti.

Baada ya kuposti video hiyo alikuwa na haya ya kunakili.

"THIS IS THE MOST BEAUTIFUL THING I’VE HEARD TODAY. YOU WILL AGREE I KNOW." Aliandika Gloria.

Naye Gavana Mike Sonko aliandika ujumbe na kuahidi atatembelea shule hiyo na kuwazawidi wanafunzi hao;

"SIKU HIZI USINGIZI IKIKOSA MI HUSKIZA TU GOSPEL KAMA MTU WA CHOIR. ONE OF MY BEST FAVOURITE GOSPEL SONGS, HUNIACHI BY REUBEN KIGAME AND GLORIA MULIRO. BELOW ARE STUDENTS FROM THIKA SCHOOL FOR THE BLIND SINGING THE SAME SONG. I SHOULD VISIT THE SCHOOL WHEN SCHOOLS REOPEN TO REWARD THE CHOIR JUST FOR A SPECIAL DEDICATION ON THIS POWERFUL SONG,’ HE POSTED."

Wakenya wengi waliwasifu wanafunzi hao na hizi hapa sifa zao;

Joan Njoka I have watched this song now 10 times. So inspiring can’t get enough of it

Erick Wangila This has perfectly touched my heart 😭😭😭😭😭

Rosalia Kivaya Visually impaired and yet they got all reasons to thank God..all is vanity nothing is worth the pride

Sharonne Shaz Ooooh my…am always touched when I hear this song… they’re blessed with beautiful voices

Josphat Jackson These are the kind of heart given voices God requires from a believer, may God bless the Salvation Army Thika school

Brenda Penalope So inspiring have shed tears oooh my God

Kathure Hillder Lovely voices

Esther Bensons Lovely voices. God bless you Sonko

Jacinta Mutinda Oh ma God this kids are soooo talented I almost shed tears

Rose Kariuki Powerful and one day God will open your eyes🙏

Yoo Neece Disability is not inability

Pst Becky Chutha This choir is really blessed when I saw then I only wished if our government can be inviting the disabled to perform during the national days at least they will feel loved and honored.May God fulfill your desire of visiting them be blessed in advance we love you our governor

Jacinta Isaiah I love this song..and this put me to tears this morning..how amazing these voices are..Glory to the most high God