Mtoto si nguo utaomba mtu! Tazama mwanawe mcheshi Njugush

Mcheshi Njuguna ni miongoni mwa wacheshi ambao wanafahamika sana humu nchini na mashabiki wao, Mcheshi huyo ni mfano mwema wa kuigwa na wacheshi chipukizi.

Mwanawe Njugush Tugi na mkewe Celistine Ndinda kwa kweli amefuata nyayo za baba yake za ucheshi, mwanawe Njugush amekuwa akiiga sauti yake waziri wa afya Mutahi Kagwe.

Celestine alipata ujauzito miezi minne baada ya kufunga pingu za maisha na mcheshi huyo huku akisema alikuwa amejipa mwaka mmoja wa kusherehekea ndoa yake.

"I HAD GIVEN MYSELF A ONE YEAR HONEYMOON BEFORE I GAVE BIRTH. WE GOT MARRIED IN DECEMBER  2016 AND WE DID NOT HAVE A JOB IN JUNE 2017 WE GOT A JOB WITH BOUNTIFUL SAFARIS. WE WERE TO GO TO MOMBASA AND THAT’S WHEN I WAS EXPECTING MY MONTHLY PERIOD. WHAT WE DID NOT KNOW WAS THAT WE WERE ALREADY PREGNANT WITH TUGI. I WOULD GET CRAMPS BUT MY MENSES WERE NOT COMING SO WE WENT TO ABEL TO ASK FOR ADVISE, ALL ALONG MY HUSBAND ALWAYS CAME OUT (WITHDRAWAL METHOD)."

Kwa kweli wanandoa hao ni wa kupigiwa mfano na wengi, na hizi hapa baadhi ya picha za mwanawe Njugush;