Ogopa Wakenya! Betty Kyallo afanyiwa haya baada ya kuposti picha akiwa amevalia Bikini

Wanamitandao wengi katika mitandao ya kijamii wakati mwingine wanaweza kuwapa ukosoaji watu mashuhuri ambao hawana heshima wala ambapo wameona kuna kosa la kukosolewa.

Betty Kyallo kwenye mitandao ya kijamii aliposti picha akiwa amevalia mavazi ya kuogelea huku akiwa kando ya bwawa la kuogelea au ukipenda 'swimming pool'.

Baada ya picha hiyo walichukua fursa hiyo na kuanza kumkosoa huku wengi wakimkejeli, alitengeneza rinda ndefu ya rangi ambayo Betty alikuwa amevalia mavazi yake ya kuogelea au ukipenda 'Bikini'.

Swali ni je mtu anaweza aje kuogelea na rinda ndefu?Huku akitoa hisia zake kuhusu nguo hiyo aliandika haya,

"I’M ON THE FLOOR AKI THIS IS MY FAVOURITE ONE YET! HADI NIMEPEWA KIBETTY YA BETTY I LOOOOVE KENYAN NETIZENS KESHO I GIVE YOU ANOTHER ONE (DJ KHALED)."

Hizi hapa hisia za wanamitandao;

phelister04 Aaah…Kenyans..aty wakitembea uchi wanavalishwa… we’re fixing this country

mitchy_mich 😂😂😂wacha avalishwe nguo 🤣

Icon Farhan Adam Bille Agents of Sir Goddy dismantling evil spirits ruthlessly!!!

Johnie Ni Johnie   serikali imeshindwa but we must put things in order

Julius Amba Muthama She fits number 3….getting old now

Julius Prosperity Very beautiful# “mama kanisa” sa nitakuletea kitambaa

Delta Sanakiss  congratulations umevaa sasa Rinda…ile time ulikuwa umevaa panty pekee yake

Sammy Holt Wakivua tunavalishatunasodeka Kenya

James Maina That’s it! We are fixing the nation

Vero Vee Mpaka top Ina match na skirt

Vincent Mutinda Ukifunua tunafunika!

Gacheba Florence Wamuyu We are fixing Kenya