'Kwa nini askofu Margaret Wanjiru anipe block?'-Mkau Mutua

Muhtasari
  • Makau Mutua alalamika baada ya askofu Margaret Wanjiru kumpa block kwenye mitandao ya kijamii
Makau Mutua
Makau Mutua

Mchambuzi wa siasa tena Makau Mutua aliwaamsha wanamitandao na swali ngumu wasijue la kujibu au kuenda upande upi.

Hii ni baada ya Makau kufichua kile askofu Margaret Wanjiru wa kanisa la Jesus Is Alive Ministries kumaliza uhusiano wo kwa kumpa bonge la block.

Makau ana hofu kwa nnini mtumishi wa Mungu anablock mwenye dhambi ambaye angemuhubiria ili aokoke.

 
 

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter Makau alikuwa na haya ya kunakili;

"Kwanini @BishopWanjiru ambaye huwa anaokoa mioyo  kumpa mwenye dhambi block?" Aliandika Makau.

Haya hapa baadhi ya maoni ya wanamiandao baada ya mchambuzi huyo kuandika ujumbe wake;

Giddy mwambai: Even Jesus Baeten the people who was selling and buying in the temple , so that was supposed to be a whip , don’t make salvation be a boring place, please

Lilian London: Because you speak too much truth! Try and sugarcoat some of her issues;Grinning face with smiling eyesGrinning face with smiling eyes

Braque: Ooooooh it's simple.... Speak like Ruto

Josiah: Bishop is in business and anyone/anything which derails her commercial interests is blocked.

 

John Ogola: She doesn't like anyone who can expose her sins...

Yuge Zero: This is a tough one Prof. Say u offer her a free weekend stay at Garden of Eden plus a $$$ pledge to smoothen her heart, she wins....if she reject ur offer she could use this as her testimony on Sunday,...she wins again

Ondari James: Because the difference between sinning and preaching revolves around emotional tolerance. Sturbon sinners need more time before redemption I guess