Kauli tata kutoka kwa Diana Marua akizungumzia maisha yake ya zamani

Video hiyo aliipakia miaka miwili iliyopita lakii wanamitandao waliibua wiki hii na kuanza kuijadili mitandaoni.

Muhtasari

• Mama huyo wa watoto watatu alieleza jinsi maisha yake ya awali kabla ya kuolewa na mwanamuziki Bahati Kioko yalivyokuwa ya kutia huruma.

Image: HILLARY BETT