Wafahamu wanasoka wa Ulaya ambao baba zao walikuwa nyota Afrika

Wazazi wa baadhi ya mastaa wa soka wanaocheza Ulaya ni magwiji wa mchezo huo.

Muhtasari

•Baba ya Victor Wanyama na McDonald Mariga, Noah Wanyama alichezea timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars.

•Babake Aubameyang, Pierre Francois alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon.

Wanasoka wa Ulaya ambao baba zao walikuwa nyota Afrika
Image: ROSA MUMANYI
Wanasoka wa Ulaya ambao baba zao walikuwa nyota Afrika
Image: ROSA MUMANYI

Wazazi wa baadhi ya mastaa wa soka wanaocheza Ulaya ni magwiji wa mchezo huo.