Fahamu usiyoyajua kumhusu mwimbaji Stivo Simple Boy

Stivo Simple Boy alijizolea umaarufu mkubwa takriban miaka minne iliyopita.

Muhtasari

•Mwimbaji Stephen Otieno almaarufu Stivo Simple Boy alizaliwa mnamo Januari 28, 1990 katika eneo la Oyugis, kaunti ya Homa Bay.

•Mwimbaji huyo alimtambulisha mke wake, Grace Atieno, siku ya Jumamosi wakati wa mazishi ya baba yake Anthony Adera.

Usiyoyajua kumhusu rapa Stivo Simple Boy
Image: ROSA MUMANYI

Mwimbaji Stephen Otieno almaarufu Stivo Simple Boy alizaliwa mnamo Januari 28, 1990 katika eneo la Oyugis, kaunti ya Homa Bay.

Mwimbaji huyo alimtambulisha mke wake, Grace Atieno, siku ya Jumamosi wakati wa mazishi ya baba yake Anthony Adera.

Nyimbo zake maarufu ni 'Mihadarati' na 'Tuheshimu Ndoa'.