Fahamu mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang'o

Nyakang'o amedai kuagizwa na wizara ya fedha kuidhinisha malipo ya shilingi B.15 siku mbili kabla ya uchaguzi

Muhtasari

• Kabla ya kuteuliwa kwa wadhifa wa sasa alihudumu kama mkuregenzi wa Halmashauri ya takwimu nchini (KNBS).

Image: ROSA MUMANYI