EPL: Wachezaji walioonyeshwa kadi nyingi nyekundu katika msimu mmoja

Victor Wanyama alionyeshwa kadi tatu nyekundu katika msimu wa 2016/17 akiwa Southampton.

Muhtasari

•Aliyekuwa nahodha wa Harambee Stars, Victor Wanyama alionyeshwa kadi tatu katika msimu wa 2016/17 akiwa Southampton.

•Kadi ya Jumapili ilikuwa ya pili kwa Casemiro katika msimu huu wa 2022/23.

Wachezaji waliopata kadi nyingi nyekundu msimu mmoja
Image: WILLIAM WANYOIKE

Siku ya Jumapili, mchezaji wa klabu ya Manchester United, Carlos Casimiro almaarufu Casemiro alionyeshwa kadi nyekundu wakati wa mechi ya ugenini dhidi ya Southampton. 

Kadi ya Jumapili ilikuwa ya pili kuonyeshwa kwa kiungo huyo wa kati wa Brazil katika msimu huu wa 2022/23.

Katika grafiki hii, tunaangazia wachezaji wengine ambao waliwahi kuonyeshwa kadi nyingi katika msimu mmoja wa Ligi Kuu.