Yesu wa Tongaren, Jehova Wanyonyi ... - Wakenya wenye imani ya ajabu katika maisha

Yesu wa Bungoma amekuwa akijitaja kama mwana wa Mungu, akisema watu 2 tu kutoka Nairobi ndio wamejikatia tikiti ya kwenda mbinguni.

Muhtasari

• Nabii David Owuor ni mmoja kati ya wachungaji wenye ufuasi mkubwa wa aina yake kidini nchini Kenya.

• Amekuwa akinukuliwa kwa kauli zenye imani tata, akisema ana uwezo wa kuponya vipofu na viwete.

Wakenya wa kipekee waliogeuka gumzo mitandaoni.
Wakenya wa kipekee waliogeuka gumzo mitandaoni.
Image: Radio Jambo