Viongozi wa Nyanza waliogura vyama kujiunga na UDA

Aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero aliongoza viongozi wengine kukutana na rais William Ruto.

Muhtasari

• Viongozi wengine waliojiunga na UDA kutoka vyama vyao ni aliyekuwa gavana wa Migori Okoth Obado, wabunge wa zamani Omondi Anyanga, Nicholas Gumbo,  John Pesa na Martin Oginde. 

Image: HILLARY BET