Fahamu athari za maandamano ya Azimio la Umoja

Maandamano ya Azimio yalikumbwa na ghasia katika maeneo kadhaa ya nchi.

Muhtasari

•Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga aliongoza maandamano ya kitaifa siku ya Jumatatu, Machi 20.

Athari za maandamano ya Azimio la Umoja
Image: HILLARY BETT