Fahamu maelezo ya harusi ya kifahari ya Akothee

Mwimbaji huyo anahesabu siku chache tu kabla ya harusi yake ya pili.

Muhtasari

•Mama huyo wa watoto watano ametangaza kwamba atafunga pingu za maisha na mchumba wake mnamo Aprili 10, 2023.

•Harusi yake ya kwanza na baba ya binti zake, Jared Okello iligharimu shilingi 2,500 pekee.

Maelezo ya Harusi ya Akothee
Image: HILLARY BETT