Sura mpya zitakazoonekana kwenye msimu wa pili wa Young, Famous & African

Katika sura za msimu wa kwanza, msanii Diamond Platnumz na aliyekuwa mkewe Zari Hassan watakuwepo pia.

Muhtasari

• Wengi wa watu hao maarufu ni wa kutoka nchini Afrika Kusini.

Sura mpya katika filamu ya Netflix ya Young, Famous and African.
Sura mpya katika filamu ya Netflix ya Young, Famous and African.
Image: WILLIAM WANYOIKE