Tetesi za askofu wa ACK Jackson Ole Sapit dhidi ya serikali ya Rais Ruto

Ole Sapit anataka msuada wa fedha kufanyiwa mabadiliko ili kuzingatia maoni hali ya uchumi ya wananchi.

Muhtasari

• Askofu Ole Sapit alisikitika kuwa serikali imeonyesha hali kutojali hisia za wakenya na changamoto wanazopitia.

• Alisema wakenya hawawezi kumudu nyongeza ya ushuru zaidi wakati huu wanapopitia hali ngumu ya maisha.          

Image: WILLIAM WANYOIKE