Jiji la Nairobi namba 94 katika miji 100 duniani katika ubora wa kuwekeza kibiashara

Nafasi ya Cape Town kama kiongozi wa bara inaweza kuhusishwa na hadhi yake kama jiji la Afrika Kusini linalotembelewa zaidi, likiwa na sifa ya juu na kuzingatiwa kama mahali pa kutembelea.

Muhtasari

• Kulingana na utafiti ambao ulifanywa na Brand Finance, Jiji la London Uingereza ndilo la kwanza kote duniani.

• Jiji la Afrika Kusini, Cape Town imeorodheshwa kama chapa bora zaidi barani Afrika, likiwa limeshikilia nafasi ya 60 kote duniani.

Miji bora ya Afrika katika kitivo cha biashara.
Miji bora ya Afrika katika kitivo cha biashara.
Image: RADIO JAMBO