Mabadiliko ya tozo yaliyopendekezwa kwenye mswada wa fedha 2023

Tozo ya nyumba za bei nafuu kupungua kutoka 3% hadi 1.5%.

Muhtasari

• Kamati ya bunge ya bejeti Jumanne ilipendekeza mabadiliko kathaa katika mswada wa fedha wa 2023 baada ya kupokea mapendekezo kutoka kwa wananchi.

• Kamat hiyo ilipendekeza 16% ya VATkwa ada ya kubadili umiliki wa biashara na unatarajiwa kupata bilioni 100 kutoka kwa wakenya.