Mzigo mpya wa ushuru katika mwaka mpya wa kifedha unaoanza Julai 1

Wakenya watashuhudia bei ya sukari ikipanda hata zaidi baada ya Ruto kutia saini kuwa sheria mswada unaolenga kuongezwa kwa ushuru wa Ksh 5 kwa kila kilo ya sukari inayoagizwa kutoka nje.

Muhtasari

• Kama wewe ni mpenzi wa samani za kutoka nje ya nchi, na unalenga kuagiza fenicha hizo kutoka nje ya ukanda wa Afrika Masahriki basi utatozwa ushuru wa 30%.

• Vyombo vya habari navyo vitatozwa ushuru wa 15% kwa kila tangazo la vileo na kamari.

Jinsi Wakenya watabeba mzigo mzito wa ushuru katika mwaka mpya wa kifedha kuanzia Julai 1.
Jinsi Wakenya watabeba mzigo mzito wa ushuru katika mwaka mpya wa kifedha kuanzia Julai 1.
Image: WILLIAM WANYOIKE