Vitendo vilivyowaleta Wakenya pamoja na kuwachangia Wakenya wenzao 2023

Wikendi iliyopita baada ya picha ya kutia huruma iliyomuonesha mama akivunja mawe na kando yake bintiye mgongwa akiwa ameketishwa, Wakenya walijitokeza na kumpa michango mikubwa.

Muhtasari

• Mapema Janauri, Wakenya walisimama pakubwa na familia ya Danny Miles, mhanga wa saratani aliyeandika ujumbe wa kugusa Facebook.

Vitendo vilivyoonyesha wakenya wana moyo wa kusaidia.
Vitendo vilivyoonyesha wakenya wana moyo wa kusaidia.
Image: Rosa Mumanyi