Kaunti zinazoongoza kwa wanawake kuwanyima wanaume ngono

Wanawake hufanya hivyo wanapogundua mwanamume alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine.

Muhtasari

Kaunti za Kilifi, Kitui na Meru zinafunga 10 bora kwa asilimia 87.6, 85.2 na 84.6 mtawalia.  

Kaunti zinazoongoza kwa wanawake kuwanyima wanaume ngono.
Kaunti zinazoongoza kwa wanawake kuwanyima wanaume ngono.
Image: HILLARY BET