Fahamu kaunti ambapo maandamano yalishuhudiwa Jumatano asubuhi

Maandamano ya Jumatano yalishuhudiwa katika kaunti mbalimbali nchini, hata zile zinazoaminika kuwa ngome za Kenya Kwanza.

Muhtasari

•Maandamano yaliyoitishwa na kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga yalianza mapema mwendo wa saa kumi na mbili asubuhi katika baadhi ya kaunti.

ambapo maandamano yalishuhudiwa Jumatano asubuhi
Kaunti ambapo maandamano yalishuhudiwa Jumatano asubuhi
Image: ROSA MUMANYI