Wanasoka wakongwe zaidi ambao bado wana damu changa ya kusakata kandanda

Miura Kazuyoshi, raia wa Japani ndio mchezaji mkongwe zaidi anayeendelea kucheza soka, akiwa na umri wa miaka 56. Analenga kustaafu atakapofikisha miaka 60.

Muhtasari

• Kipa wa muda mrefu wa Italia, Gianluigi Buffon hajaonesha dalili yoyote ya kustaafu ambapo anaendelea kuzipiga akiwa na miaka 45.

Wachezaji wakongwe wanaosakata kabumbu
Wachezaji wakongwe wanaosakata kabumbu