Tazama safari ya mapenzi ya Akothee na mume wake Denis Shweizer

Akothee na mumewe Denis Shweizer waliadhimisha mwaka mmoja wa mahusiano yao siku ya Jumapili, Julai 16.

Muhtasari

•Wanandoa hao wamekuwa pamoja kwa mwaka mmoja tayari na wameendelea kufurahia safari ya mahusiano yao.

Safari ya mapenzi ya Akothee na Denis Shweizer
Image: WILLIAM WANYOIKE