INFO: Safari ya mapenzi ya Baha na Georgina; yalizaliwa 2020 na kufa 2023

Georgina alitangaza kumtema Baha na siku chache baadae akaonekana akijivinjari maisha kwenye klabu ya starehe akivuta shisha kwa furaha tele.

Muhtasari

• Wawili hao walianza kuchumbiana mwaka 2020 na miaka miwili baadae walibarikiwa na mtoto binti.

• Georgina ndiye amefichua kumuacha Baha baada ya shtuma ya ulaghai na uraibu wa kamari.

Baha Machachari apigwa buti na Georgina
MAPENZI Baha Machachari apigwa buti na Georgina
Image: HILLARY BETT