Hasara ya maandamano: Magari 158 ya polisi, vituo 9 kuchomwa...

Katibu wa kudumu katika wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo alisema maafisa 305 wa polisi walijeruhiwa kwa kushambuliwa na waandamanaji.