Muhtasari
•Mpishi Mkenya, Maliha Mohammed alivunja rekodi ya saa 68, dakika 30 na sekunde 1 iliyokuwa ikishikiliwa na Mmarekani Rickey Lumpkin.
Siku ya Jumatatu, mpishi Mkenya Maliha Mohammed alidaiwa kuvunja Rekodi ya Dunia ya muda mrefu zaidi wa kupika jikoni ya nyumbani.
Maliha alivunja rekodi ya saa 68, dakika 30 na sekunde moja iliyokuwa ikishikiliwa na Mmarekani Rickey Lumpkin. Hata hivyo, rekodi hiyo bado haijatambuliwa na Guiness World Record kwani kuna taratibu za kuzingatiwa.
Katika grafiki ya Leo, tunaangalia taratibu zinazopaswa kufuatwa ili kuvunja au kuweka rekodi ya dunia;