Mataifa yaliyopiga TikTok marufuku kwa vifaa vya serikali kwa Maafisa wake 2023

Nchini Kenya, tayari mswada umewasilishwa bungeni na unanuiwa kujadiliwa ili kupitishwa iwapo mtandao wa TikTok utapigwa marufuku au la.

Muhtasari

• Mtandao huo una asili yake nchini Uchina na mara ya kwanza ulizinduliwa ni mwaka 2014 kabla ya kuboreshwa 2016 na 2018 ukawa TikTok.

• Mataifa mengi ya Magharibi yameingiwa na wasiwasi kuhusu usalama wao wakidai Uchina wanaweza dukua taarifa muhimu kupitia TikTok.

Marufuku ya TikTok
Marufuku ya TikTok