Wafahamu wanasoka tajika ambao wamestaafu 2023

Wastani wa umri wa kustaafu wa wanasoka wengi duniani ni takriban miaka 35.

Muhtasari

•Mlinda lango wa zamani wa Manchester United,  Ben Foster ndiye mchezaji wa hivi punde zaidi kutangaza kustaafu soka. 

•Theo Walcott ambaye alichezea Arsenal, Everton na Southampton alitangaza kustaafu kwake wiki iliyopita baada ya kucheza kwa takriban miongo miwili. 

Wanasoka waliostaafu mwaka wa 2023
Image: ROSA MUMANYI
Wanasoka waliostaafu mwaka wa 2023
Image: ROSA MUMANYI

Mlinda lango wa zamani wa Manchester United,  Ben Foster ndiye mchezaji wa hivi punde zaidi kutangaza kustaafu soka. 

Theo Walcott ambaye alichezea Arsenal, Everton na Southampton alitangaza kustaafu kwake wiki iliyopita baada ya kucheza kwa takriban miongo miwili.

Wastani wa umri wa kustaafu wa wanasoka wengi duniani ni takriban miaka 35.