Ratiba ya mitihani ya kitaifa 2023

Muhula wa tatu una jumla ya wiki tisa na shule zitafungwa Oktoba 27.

Muhtasari

• Muhula wa tatu una jumla ya wiki tisa na shule zitafungwa Oktoba 27 ni watahiniwa pekee watakaosalia shuleni.

Image: HILLARY BETT