Vile thamani ya shilingi ya Kenya imedorora mwaka mmoja uliyopita

Kudorora kwa thamani ya shilingi ya Kenya kumechangia kupanda kwa bei ya bidhaa za kutoka nchi za kigeni.

Muhtasari

• Kwa kipindi cha mwaka mmoja pekee shilingi ya Kenya imeteremka kutoka 128 kwa dola hadi 148.8.

Image: WILLIAM WANYOIKE