Mfahamu kwa undani aliyekuwa kiongozi wa Mungiki, Maina Njenga

Maina amekuwa gumzo baada ya kuandaa mikutano mikubwa katika eneo la Kenol na Ruiru.

Muhtasari

•Maina Njenga alizaliwa na kukulia katika kijiji cha Karandi, eneo la Laikipia Magharibi, kaunti ya Laikipia.

•Wake wawili wa Maina Njenga, Virginia Nyakio na Grace Wairimu waliuawa mwaka wa 2009 na 2014 mtawalia.

kwa undani Maina Njenga.
Mfahamu kwa undani Maina Njenga.
Image: HILLARY BETT
kwa undani Maina Njenga.
Mfahamu kwa undani Maina Njenga.
Image: HILLARY BETT