Pata kujua ukweli kuhusu ‘Omosh’ kama ulivyowekwa bayana na mke wake, Akothee

Kumekuwa na uvumi mwingi mitandaoni kuhusu maisha na asili ya mzungu huyo aliyefunga ndoa na Akothee mnamo Aprili 10, 2023.

Muhtasari

•Akothee amebainisha kuwa mzungu huyo wake alizaliwa nchini Uswizi mwaka wa 1988 na sio Pakistan kama inavyodaiwa.

kuhusu 'Omosh' kulingana na mkewe, Akothee
Ukweli kuhusu 'Omosh' kulingana na mkewe, Akothee
Image: ROSA MUMANYI