Viongozi wanaotakiwa kuandikisha taarifa kufuatia sakata la ardhi ya Portlands, Athi River

Wiki iliyopita, makumi ya wakazi katika ardhi hiyo walihesabu hasara baada ya makazi yao kuangushwa ikisemekana walinyakua kinyume cha sheria ardhi hiyo.

Muhtasari

• DCI walitoa orodha ya viongozi mbalimbali ambao wanaweza kutoa mchango wa kuangazia kiini cha unyakuzi wa shamba hilo.

Viongozi waliohusishwa na ubomoaji EAPC
Viongozi waliohusishwa na ubomoaji EAPC