Uhuru Kenyatta na wanasiasa wengine wanaosherehekea siku za kuzaliwa Oktoba

Rais huyo mstaafu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa Oktoba 26 kwa nji ya kipekee ambapo alipigiwa simu na kituo kimoja cha redio na kuomba kuchezewa wimbo wa Reggae 'I Got You Baby'

Muhtasari

• Kenyatta alisherehekea kufikisha miaka 62 ambapo wakenya wengi walifurika mitandaoni kumtumia jumbe za kheri njema.

• Wakaazi wa Gatundu, ambako ni nyumbani kwake walijitokeza sokoni kwa wiki na kumuomba radhi kwa kutofuata mrengo aliowarai kuchagua katika uchaguzi wa mwaka jana.

•Viongozi wengine wanaosherehekea kuzaliwa Oktoba ni Esther Passaris, Anyang' Nyong'o miongoni mwa wengine.

Uhuru Kenyatta
Uhuru Kenyatta